Breaking

Wednesday, September 28, 2022

AFRIKA KUSINI INA RAIA MILLION 59.31


Unajua kwamba Afrika kusini ina raia million 59.31 kwa ripoti ya 2021
Kati ya hao raia million 59.31 raia million 5.5 Ni wazungu na raia million 48.9 Ni waafrika weusi na zingine zilizobakia ni za wahindi na wachina

Wåzungu million 5.5 wanamiliki asilimia 72 ya ardhi ya Afrika kusini kuna mabilionea wanamiliki mpaka hekari 1000 na zaidi waafrika million 48.9 wanamiliki asilimia 18 tu ya ardhi Yao wenyewe.

No comments:

Post a Comment

Pages