Breaking

Wednesday, September 28, 2022

AFRIKA NIKABURI TU KWA WAAFRIKA


AFRIKA NI KABURI TU KWA WAAFRIKA

Raisi wa Russia Vladimir Putin asema kua Afrika ni kaburi tu kwa waafrika

"MUAFRIKA AKIPATA HELA
1-anakwenda kujenga Ufaransa

2-anawekeza Ujerumani

3-akiumwa anakwenda kutibiwa India

4-watoto wake wanasoma Marekani

5-bank account yake ipo Denmark

5-matumizi yake yote anafanyia China
6-utalii wake anafanyia ulaya

7-anakwenda Romma au Mecca kusali

Ila akifa anenda kuzikwa sehemu nzuri Afrika Afrika Ni kaburi TU Sasa kaburi litaendeleaje?"

Uongo uko wapi?

No comments:

Post a Comment

Pages