Breaking

Wednesday, September 28, 2022

AMKA WANA WA MAMA AFRIKA



Wakati watu weupe Kama wazungu
,waarabu ,wachina nk  wanataka rasilimali zetu na  ardhi yetu 

Sisi waafrika hatutaki Kile tulichobarikiwa nacho ! tunachokitaka ni raha za mbinguni /peponi pekee baada ya kifo 

Tunauwana wenyewe kwa wenyewe  kubaguana kufarakana sababu ya kugombania pepo ya wazungu/waarabu .Urithi wa ukweli hatutaki kabisa tunataka mambo ya kufikirika tu. 

Kweli ujinga wa waafrika ni utajiri wa watu weupe

#amka_afrika

No comments:

Post a Comment

Pages