Patrice Lumumba na Kwame Nkruma ni miongoni mwa viongozi wa Afrika ambao hamna mtu anawachukia leo ila miaka yao ya 60 wakati Kwame Nkruma alikua Moto Sana kuikomboa Afrika kutoka kwenye ukoloni wa kimabavu na ukoloni mambo leo vyombo vya habari na magazeti yote yalimuandika Kwame Kama dikteta hafai kuongoza watu wake waliamini hilo wakashawishika aachie madaraka Kisha wakampindua
akaja Patrice Lumumba alitaka ainyoshe Afrika kwanza aiunganishe Kisha aifanye iwe pepo wakamuandika Kama dikteta na watu wake wakaamini Hilo akauliwa Thomas Sankara hivyo hivyo wakamuua hivi ndivyo wanavyotudanganya na wanatuingiz kwenye ajenda zao wanatumia vyombo vya habari kutukoroga vichwa
wao hawajali kuhusu kingozi kua dikteta au laa wanachojali maslahi Yao Kama amawasikiliza basi vizuri awe tu dikteta hawana muda na yeye Kama hawasikilizi Hata Kama sio dikteta watatengeneza propaganda za kumtoa madarakani kwa kutumia vyombo vyao vya habari
Kuna watu bado wanaamini Magufuli alikua mtu mbaya sababu hakufata demokrasia hem kua smart homie bado unaamini Kuna demokrasia hapa duniani demokrasia Ni kigezo tu cha marekani cha kuulia na kuchafua nchi za watu Hakuna nchi yenye demokrasia kila serikali inataka nguvu ya kuwaongoza wananchi wao demokrasia Ni uongo Gaddafi aliliandika hili kweye kitabu chake "mnaita demokrasia wakati Ni watu kadhaa tu ndio wanaokaa bungeni na kutunga sheria alafu mmasema kila mmoja ana haki demokrasia Ni uongo mtupu"
Hakuna haja ya kua na demokrasia Kama wananchi hawana maisha mazuri Kama wananchi wananchi hawana ajira uchumi unashuka kila siku demokrasia ya Nini hapo? haijalishi unaongoza kwa mfumo gani kinachoangaliwa Ni maisha ya raia zako na uchumi wa nchi yako mengine Ni ya ziada wasizidi kutudanganya manabii zetu Ni wabaya madikteta na sisi tunaamini wao wenyew ndio madikteta wanatupangia tufanye biashara na nani na rusifanye na Nani hiyo Ni demokrasia?
Fikiria hili kwa umakini Sana hutonielewa ukiwaza juu juu wanacheza na akili zetu.
No comments:
Post a Comment