Breaking

Wednesday, September 28, 2022

HUYU NDIYE OBAMA


Unataka kumjua Obama Ni Nani

Wengi wetu tunadhani Obama alikua mtu mzuri kuwahi kutokea marekani kwakua tuliamini ni muafrika Kama sisi na wengine wakati huo Tuko waislamu tukafurahi kwakua Ni muislamu Kama sisi alichukua nchi

Kiukweli Kila raisi wa marekani anapoingia madarakani anapewa kazi mbili international mandate (kazi za kimataifa), na domestic mandate(kazi za ndani)

Miongoni mwa domestic mandate za Obama zilikua ni kuzima moja kwa moja zile mbio za watu weusi wa marekani kwa kuhamishia nguvu yote kwa mashoga,wasagaji,wabadili jinsia,wapambania haki za wanawake na multicultural movement sasahivi ukienda marekani hukuti Tena haki za wamarekani weusi zinazungumziwa tena ni haki za mashoga na uchafu wao wote Obama ndie alirasimisha ushoga wakati wake na ndie kiongozi anaekumbukwa kushinda wote kwa kutetea haki za mashoga
wakati wa Obama ndio wakati ambao matukio ya mauaji ya watu weusi yametokea Sana kushinda nyakati zote wakati wake ndio wakati ambao watu weusi wamekosa Sana haki kushinda nyakati zote Ila ndio nyakati ambazo ushoga umepata nguv na mabilioni ya hela yamewekezwa kuhakikisha watu wanakuwa mashoga.
katika takwimu za mashoga marekani mashoga wengi Ni watu weusi Ni kazi ya Obama na Sera zake

Miongoni mwa International mandate ya Obama ilikua Ni kuhakikisha Afrika ipo chini ya mikono yao na kutanua zaidi wigo wa ujengaji wa vituo vya kijeshi zaidi Afrika ili waibe vizuri ukizingatia wakati wa Obama ndio wakati ambao military bases nyingi zimejengwa Afrika kushinda nyakati zote uhusiano wa Ghana na Marekani ulikithiri nyakati za Obama na wizi bado unaendelea
kiufupi Obama alihakikisha Sera zao zinatimia kwa kiasi kikubwa Sana na sisi kwakua tuliona sura ya mweusi mwenzetu tukaingizwa kwenye mtego wa kisiasa tukadhani Ni bahati kumbe mkosi

huyu ndio Obama

No comments:

Post a Comment

Pages