Afrika Ni mahala pekee tunawalazimisha watoto wetu kujifunza Mambo ya kijinga na kuyaacha Mambo ya msingi fikiria watot wanapewa adhabu Kama hii kwasababu hawajaenda kusali kanisani/msikitini au wanapewa adhabu Kama hizi kwasababu wanaongea lugha yao ya taifa Yani tunalazmisha waikatae asili yao fikiria Kama hizi nguvu za kuwaadhibu Hawa watoto zingewekezwa kwenye mafunzo ya namna ya kujenga maisha yao baada ya masomo zingewekezwa kwenye kuwafunza waafrika asili Yao zingewekezwa kwenye kuwafundisha namna ya kutumia rasilimali zao kujenge Afrika ya baadae Mana elimu ambayo haikufundishi nna ya kutumia rasilimali zako hiyo sio elimu huo Ni mfumo wa ukoloni mpya na ndo ambao tunao sisi vipi Kama tungewekeza huko Leo tungekua wapi? Kazi tunawekeza kwenye Mambo yasiyo na msingi kabisa
Wednesday, September 28, 2022

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Offa Offa EWE MSANII Records Wimbo wako STUDIOS Kwa Garama ya Elf 70 > Chini ya Producerd
Mkubwa R.NAME
Utakapo LIPIA ELF SABINI Wimbo wako UKISHA Kama Utakua na Kipaji Utasimamiwa kazi Zako kwa MKATABA
Kwa MAWASILIANO ZAIDI MPIGIE Producerd R.NAME> 0718589352 AU 0784120592
No comments:
Post a Comment