Breaking

Wednesday, September 28, 2022

ONA HII




 mungu aliumba mwanadamu na dhambi ya asili Kisha akawaleta duniani waishi alipoona wamekithiri kufanya dhambi akawazamisha wote akawaacha baadhi tu kwenye Safina wakazaliana tena Ila dhambi haikuondoka bado ilikuwepo wanadamu bado tena wakaendelea kufanya dhambi nyingine Kama za sodoma na gomora mungu akawaadhibu tena bado dhambi ikabaki haikuondoka akaamua aje yeye mwenyewe duniani kujitoa sadaka ili awaokoe wanadamu wote kutokana na dhambi aliyoiumba yeye mwenyewe awaokoe wanadamu kwa kujitoa sadaka yeye mwenyewe ili asije akawaadhibu yeye mwenyewe siku ya mwisho Ila bado dhambi ipo na tukifa bado tunaenda motoni Kama tukifanya dhambi Sasa alijitoa sadaka ya Nini? na nadhani watu hawaelewi maana ya sadaka sadaka gani unakufa Leo kesho unaamka sadaka ukishaenda umeenda 
Na Kwanini asiamue tu kuondoa dhambi kwanini anazungukazunguka kuua watu mpaka anajiua  yeye mwenyewe kwani anashindwa kufuta dhambi maisha yawe mazuri tu au Hana washauri

Dini Ni stori za kitoto zisizoleta maana yoyote Ila watu wake ndio wanaolazimisha zilete maana amka sasa

No comments:

Post a Comment

Pages