Breaking

Wednesday, September 28, 2022

DADA ZETU WANAKIMBILIA DUBAI NA OMAN


Dada zetu wanakimbilia Dubai na Oman wanajua kuna maisha mazuri hakuna maisha mazuri kule Kuna waarabu wapo kule ombaomba wewe Nani ukakutane na maisha mazuri kirahisi matokeo yake wanafanyishwa kazi za kishenzi Kama hyo waarabu wanakukojolea usoni kwa pesa ambayo ungebaki hapa nyumbani usingekosa, wanalazimishwa ngono,na hakuna mahala wanaweza kushitaki, wanafanyishwa mapenzi na wanyama, sometimes wanatolewa Figo bila wao kujua kwanini usibaki nyumbani tu Jenga Afrika yako hakuna anaekujali muaafrika

No comments:

Post a Comment

Pages