Breaking

Wednesday, September 28, 2022

MKITAKA WATANZANIA TUWAPENDE


Mkitaka WATANZANIA tuwapende na mzidi kutawala adi mwisho wa dunia fanyeni aya, na nina imani inawezekana sababu tanzania ni Nchi tajiri sana sema tu kuna upigaji mwingi kwa baazi ya viongozi

1. Shusheni bei ya mafuta ingawa ni tatizo la dunia nzima ila tanzania tunaweza kuli control

2. Punguzeni bei ya mchele na vyakula vingine

3. Rekebisheni ununuaji wa umeme ili mtu akinunua umeme ata wa buku apate unit nyingi

4. Rekebisheni tozo za utoaji hela kwenye simu kama Tigopesa, Airtel money na mitandao mingine

5. Rekebisheni bei ya mbolea na pembejeo

6. Rekebisheni huduma za afya bado ni changamoto kwa wenye hali ya chini kupata huduma sahihi

7. Rekebisheni mifumo ya mikopo ya chuo ili wanafunzi wenye hali ya chini waweze kujikimu kielemu

8. Rekebisheni haki na sheria police na mahakamani maana naona ile tabia ya kusema unanijua mimi nani au mtoto wa nani inaanza tena kuludi wakati kipindi cha JPM ilikua akuna

9.Soma tena mbaka uelewe

Maoni tu. Picha haihusiani na post

No comments:

Post a Comment

Pages