Breaking

Wednesday, September 28, 2022

YESU ALIZALIWA AFRIKA


Yesu alizaliwa Mashariki ya kati huko nje ya Afrika yesu aliishi maisha yake yote huko aliuliwa na watu wa huko kwa kuvunja sheria zao huko akazikwa huko kila kitu chake alifanyia huko kwao na watu wake cha ajabu anatokea mtu huku Tanzania anadai yesu kafa kwaajili yake (???)
alikufaje kwaajili yako wewe? hivi mnajua maana ya utumwa wa akili usipelekeshwe kwa akili uliyopandikizwa amka Sasa Rudi kwenye asili yako Muafrika toa uchafu wote waliokujaza kichwani wakoloni

No comments:

Post a Comment

Pages