Breaking

Wednesday, September 28, 2022

UNAJUA KWANINI ALIUWAWA


Unajua kwanini Muammar Gaddafi aliuwawa? 

Muammar Gaddafi alikua mbioni kuikomboa Afrika kwenye mikono ya mabeberu. 

Muammar Gaddafi alitaka aanzishe Benki ya Kati ya Afrika ambayo ingeua inatengeneza hela zake yenyewe na hela ambayo ingekua imerudishwa kwenye kiwango cha dhahabu "gold currency" 
Hii pesa yenye kiwango cha dhahabu ingekuza uchumi wa Afrika kwa kiwango kikubwa Sana na ndio ingekua pesa yenye thamani kushinda pesa yoyote duniani hii ingesabahisha Nini? Hii ingeenda kuporomosha uchumi wao kuanzia Marekani Mana Gaddafi asingeenda kuuza mafuta kwa dollar(Petro dollar) na Petro dollar ni moja ya nguzo ya uchumi wa marekani, angefilisi Benki za ulaya zinazotegemea Afrika angefilisi Benki za China zinazotegemea Afrika ndio Mana Gaddafi alotakiwa auwawe haraka sana 

Gaddafi alikua Pan Africanist alijua kwa kufanya hivi sitofika mbali ndio Mana alisisitiza Afrika iungane kijeshi ili ipate nguvu ya kukabiliana na nguvu ya kijeshi ya mabeberu Mana jeshi lake lisingeweza alisalitiwa wakamuua.

Tatizo sio mzúngu kudumaza uchumi wetu kwa kuwaua manabii wetu tatizo ni sisi waafrika kwanini tunaruhusu wanaua mashujaa wetu na wakati mwingine tunachangia kuwaua 

No comments:

Post a Comment

Pages