Breaking

Wednesday, September 28, 2022

BARUA ZA WAAFRIKA ZIPO WAPI?


JAMANI EBU TUSOME WOTE KWA PAMOJA ALAFU TUTUMIE AKILI ZETU KUFIKILI VIZURI.

Haya sio maandiko yangu Mimi Nita copy kwenye biblia na kuandika hapa.

''Barua ya Paul kwa warumi (Italy)
Barua ya Paul kwa wakorinto (Greece)
Barua ya Paulo kwa waefeso (Turkey)
Barua ya Paulo kwa wagalatia (Asia minor)
Barua ya Paulo kwa wafilipi (Greece)
Barua ya Paulo kwa wasesalonike(Greece)
Barua ya Paulo kwa wakorosai (Turkey)

Barua ya Paulo kwa wakikuyu IPO wapi?
Barua ya Paulo kwa wajita ipo wapi?
Barua ya Paulo kwa wasukuma IPO wapi?
Barua ya Paulo kwa Wa Igbo IPO wapi?
Barua ya Paulo kwa ashati IPO wapi?
Barua ya Paulo kwa wajaruo IPO wapi?
Barua ya Paulo kwa wazulu IPO wapi?
Barua ya Paulo kwa oromo IPO wapi?
Barua ya Paulo kwa wasomari IPO wapi?
Barua ya Paulo kwa wamasai ipo wapi?

Mamilioni ya waafrika Leo wanakusanyika katika majumba ya ibada wakisoma na kujifunza mambo ya barua yasio wahusu.

Waafrika Ni wapumbavu wanasoma hizo barua alafu wanasema eti ziliandikwa kwetu sisi,jamani tumekuwa wapumbavu kiasi hiki??

Cha kushangaza walioandikiwa hizo barua Leo hii hawazitaki na wala hazina maana kwao,lakini waafrika wamezing'ang'ania kama barua zao.

Tungekuwa tuna akili kidogo tu tulitakiwa tuwa tumie warumi,wasesalonike,wakorinto,wagaratia na wengine barua zao na kuacha kuzisoma kama zetu.

Kinacho nishangaza kwanini sisi tupo busy tunasoma barua za watu?

Na pia nashangaa Huyu jamaa Paulo aliandika barua nyingi na ndefu kwa watu wote huo? kwani hakuwai kupata majibu ya barua zake? Kama alipata kwanini hayajawekwe kwenye kitabu?

Ningepata raha kujua majibu yao kwasababu watu hao mpaka Leo hawazifuati barua hizo za Paulo,nadhani walimjibu aache upumbavu aondoke zake.

AMKA MWAFRIKA

No comments:

Post a Comment

Pages