Breaking

Wednesday, September 28, 2022

WITO WA RAIS WA MADAGASCAR 🇲🇬 KWA AFRIKA




 Raisi wa Madagascar Andry Lajouelina ametoa wito kwa mataifa ya kiafrica kwa maneno haya 

"Hii ni kwa ajili ya imani mbaya ya watu wa Ulaya juu ya Waafrica,watu wa Ulaya wameunda mijumuiko,umoja wao ili kuwafanya waafrika kutegemea kutoka kwao (mifumo tegemezi).. Africa tumegundua dawa lakini mifumo ya kiulaya haikutaka kuikubali kwa sababu haikutoka kwao,Ulaya wanadhani kua wenye akili mno kila kitu kifanywe kwao,natoa wito kwa nchi za kiafrika kuungana na kutengeneza mifumo ya umoja yetu wenyewe isiyo ya kutegemea watu wa Ulaya"

Ameongeza kwa kusema "Nchi zote za Kiafrika zijitoe katika mifumo yao,ikiwemo mimi mwenyewe usiku wa leo ninajitoa katika mifumo yao yote na kuanza mifumo yetu mpya na ningependa maraisi wa kiafrika wafate pia"

Ameyatamka hayo Raisi wa Madagascar

Mtafasiri ni Mimi Deo Gracias mwenyewe kuyachambua kutoka lugha yao mpaka kingereza mpaka kiswahili kibinafsi naweza kutoa big up kwake nini maoni yako🙏🏿

No comments:

Post a Comment

Pages