Breaking

Tuesday, April 30, 2024

Kitabu Cha *"Miaka 700 Ya Wachagga"* ni Fursa Ya Kipekee Sana Kwetu Kufahamu Mambo Makubwa Yaliyofanywa na Wachagga Kwa Karne 7 Zilizopita.

Kitabu Cha *"Miaka 700 Ya Wachagga"* ni Fursa Ya Kipekee Sana Kwetu Kufahamu Mambo Makubwa Yaliyofanywa na Wachagga Kwa Karne 7 Zilizopita.

Utaweza Kuwaeleza Watoto na Wageni Wanaotaka Kufahamu Walichokuwa Wanafanya Wachagga Hata Miaka 500 Iliyopita.

*Tuna jukumu la kuhuisha historia kubwa ya Wachagga ili kujenga kujitambua na kujiamini(self esteem)

Hata hivyo, habari njema ni kwamba tayari tumeianza safari, *Safari ya kurudisha maarifa na taarifa za jamii ya Wachagga kwa kipindi cha miaka 700 iliyopita kwa faida ya kizazi cha sasa na vinavyofuata kuweza kujitambua.*

Hivyo wote tuna jukumu la kuhakikisha kwamba taarifa na maarifa haya yanafikiwa na watu wote. Sambamba na kujifunza na kuyarithisha kwa vizazi vinavyofuata ili kukwepa aibu na lawama ya kukubali urithi huu muhimu kutoka kwa waliotutangulia kufia kwenye kizazi chetu.

Kitabu hiki ni muhimu sana kwetu na zaidi kwa watoto wanaokua, kuwajengea kujitambua na kujiamini(self esteem) kuelekea kufanya mambo makubwa kwenye maisha yao na kuwa sehemu muhimu ya kulijenga taifa.

Kama alivyosema Mangi Petro Itosi Marealle mwaka 1944, *"Mambo Makubwa na Makuu Yanatarajiwa Toka Kwenu Wachagga"*.

Nunua nakala zako mapema kuepuka usumbufu wa kusubiri sana kwani zinamalizika haraka kutokana na uhitaji kuwa mkubwa.

Bei Ya Kitabu Ni Tshs 40,000/=

Karibu kwa pamoja tuweze kurudisha utukufu uliopotea.

Tuma ujumbe kwa
Whatsapp no. +255 754 584 270

MALIPO.

CRDB BANK.
ACC. NO. 01J2030386900.
JINA: SEBASTIAN DASTAN MOSHI. Au,

M-PESA
NO. +255 754 584 270
JINA: Sebastian Moshi.

Tunatuma nakala kila mahali.

Ahsante na karibu sana.

No comments:

Post a Comment

Pages