Breaking

Wednesday, September 28, 2022

FUNGUA AKILI YAKO RUDI KATIKA ASILI


Mwanadamu umezaliwa ukiwa hujui lolote kichwani mwako 
ulizaliwa hujui lolote kuhusu dini, ulizaliwa hujui lolote kuhusu mungi ulizaliwa hujui lolote kuhusu hii dunia mpaka ulipoaminishwa na watu fulani ulipoingiziwa maono Yao kuhusu maisha ukapewa jina ambalo hukichagua,ukapewa dini ambayo hukuchagua, ukapewa maono ambayo hukuchagua hivyo vyote uliingiziwa tu kichwani eidha na jamii au wazazi wako 

Unapokua mkubwa usikubali kukaa na kitu ulichopewa kwa lazima bila kujua ukweli kuhusu hicho kitu 

Ukisoma historia ya dini zote zilitengengenezwa na watu Kama mimi na wewe kutunza asili/mila ya watu fulani ka Uislamu unatunza Mila za wåårabu Kama Muafrika unatakiwa ujue kua hizi dini hazikuhusu wewe rudi kwenye asili yako ya kiafrika tunazidi kujipoteza tusipoamka sisi ataamka Nani kila mtu anataka kua mtu mwingine waafrika wanatamani kua wåårabu au wazungu 

Rudi kwenye asili yako fungua akili yako iloyofungwa kwa vifungo vizito vya dini

No comments:

Post a Comment

Pages