Breaking

Wednesday, September 28, 2022

SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIA


Unaijua lugha ya rasmi ya mbio za Pan Africanism? Kiswahili ndio lugha rasmi ya Pan Africanism sitosema Nyerere pekeake amechangia kukuza kiswahili bali wadau wengi wa Pan Africanism wamechangia kukuza lugha Iddi Amini Dada alitoa wazo kwamba kiswahili kiwe lugha ya Afrika na wale waafrika wanaoishi nje ya Afrika iwe lugha yao rasmi ya mawasiliano na tuzitupe lugha za wakoloni na wadau wa pan Africanism Kama Dr Maulana Kalenga toka marekani walilipokea Hilo na walikua tayar na walilifanyia kazi

Kiswahili kimekua lugha rasmi Sasa ya Umoja Wa Afrika/African Union(AU)

Kiswahili kimepewa siku yake rasmi duniani ni kila tarehe 7 mwezi wa 7

Nch zaidi ya nne ninazozijua zimeanza kufundisha kiswaili ukitoa nchi za Afrika mashariki na zingine zinataka kukifaya kiwe lugha rasmi Uganda IPO mbioni kukifanya kiswahili kiwe lugha rasmi,South Africa baadhi ya vyuo na shule za juu zimeanza kufundisha kiswahili, visiwa vya Comoro na Ethiopia.

Sioni haja ya watu kujivunia kuongea kingereza Kama unakijua sawa na Kama haukijui sawa cha kujivunia Ni lugha yako mama Kiswahili kitaunganisha Afrika Viva Afrika 💪🏿💪🏿💪🏿


No comments:

Post a Comment

Pages