Breaking

Wednesday, September 28, 2022

THE WORLD Vs AFRIKA


Kinachoshangaza kuhusu Afrika

🌟Nchi ya Mali ina migodi ya dhahabu zaidi ya 806 na haina stoo hata moja ya dhahabu, Ufaransa ina stoo ya dhahabu ya nne kwa ukubwa duniani na haina mgodi hata mmoja wa dhahabu

🌟DR Congo Ina misitu ya mbao mikubwa Afrika na haina kiwanda cha uuzaji wa mbao Congo, Ufaransa na China ndio nchi zenye viwanda na zinazouza mbao zaidi dunaini na hazna misitu ya mbao nchi zote hizi mbili zipo Congo

🌟DR Congo ndio nchi yenye madini mengi ya Cobalt na copper Ina asilimia 70% madini yanatumika kutengeneza simu za mkoni na vifaa vya umeme Kama bettery Ila Congo haina kiwanda hata kimoja cha simu Wala bettery, China ndio namba moja kwa uuzaji wa simu duniani na haina madini ya Cobalt  wanawafanyisha kazi watoto wa shule kuwachimbia madini wanatengeneze simu

🌟Tanzania ndio nchi pekee Inayotoa madini ya Tanzanite ila haipo kwenye soko la uuzaji na wasambazaji bora wa Tanzanite, India ndio nchi maarufu kwa uuzaji wa Tanzanite

🌟Ethiopia na Madagascar ndio nchi zinazolima zao la kahawa kwa wingi Afrika Ila hazipo kwenye soko kubwa la uuzaji wakahawa duniani, Marekani, Ufaransa na Italy ndio nchi znazouza kahawa kwa wingi Afrika na hawana mashamba ya kahawa ya kuwafikisha kiwango hicho wanachukua Afrika mpaka wanazipanmajina Yao ("black coffee" , "sterbug") 

🌟Somalia na Madagascar Ni miongoni mwa nchi zinazotoa samaki wengi Afrika ila hawapo kwenye soko la uuzaji wa samaki, China ndio nchi inayouza samaki kushinda nchi yoyote duniani Somalia na Madagascar Zina madeni mazito ya wachina

🌟Ghana na Ivory Coast ndio nchi zinazolima zao na cocoa Afrika kwa wingi zinatoa asilimia 60% ya cocoa yote duniani Ila hazina viwanda vya chocolate, Belgium ndio nchi inayouza chocolate zaidi dunaini na haina mashamba ya cocoa

🌟Niger ina asilimia 8.9% ya Uranium yote duniani Ila wakazi wake wanaopata umeme ni asilimia 13% tu asilimia 86% zote hawajui umeme na Uranium Ni ya kwao, Ufaransa wakazi wake wanapata umeme kwa asilimia 100% na hawana ziwa Wala mgodi wa Uranium.

💥Afrika inatoa pesa za kimarekani billion zaidi ya 5000 kila mwaka bila marejesho yoyote vipi hizi pesa zote zingebaki Afrika leo Africa ingekua wapi?

🔥Hivi utamulezeaje mwanako kua umasikini wa Afrika inasababiswa na rushwa za viongozi tu? Ina maana bado humjui adui yako ? 

✨AFRIKA AMKA

No comments:

Post a Comment

Pages