Breaking

Wednesday, September 28, 2022

UKOLONI AFRIKA NA QUEEN ELIZABETH II





Unajua kwamba Queen Elizabeth Il alishirikia moja kwa moja kwenye ukoloni wa nchi za kiafrika na kusapoti utumwa wa watu weusi

Queen Elizabeth alizima mbio za mapinduzi ya Mau Mau Kenya na kuwateka au kuwacapture waliojaribu kuziendeleza hizi mbio 1960

Queen Elizabeth alikua anamiliki kofia ya dhahabu yenye thamani kushinda kofia yoyote duniani Ina thamani ya million 400 inakaribia trillion moja ya kitanzania ambayo hiyo dhahabu aliiba South Africa akazingizia amepewa Kama zawadi naniahara ya upendo wakati hiyo dhahabu iliibwa wakati wa ukoloni.

Alikua anamsapoti mwanake kwenye matukio ya kishenzi aliyokua anawafanyia watoto wadogo

Alitengeneza njaa India na baadhi ya nchi za Afrika ili wauze chakula

Serikalini dhalimu ya Afrika kusini mpaka leo watu weupe wanamiliki ardhi yote kule Ni kwasababu yake yeye na mipango waliyopanga kuwatawala watu weusi wakishawapa Uhuru feki

Ubaya wa yote hayo hakuna alichoomba msamaha hata kimoja na alikua anajihisi ufahari kabisa kukanyaga Mai alizoiba na kufanya machafu sioni haja ya kumpa RIP shetani Kama huyu mi nashukuru kufa huyu ibilisi

No comments:

Post a Comment

Pages