Breaking

Wednesday, September 28, 2022

UNAJUA IDADI WA WATU WEUSI NIWENGI DUNIANI


:JE WAJUA IDADI YA WATU WEUSI NI WENGI DUNIANI KULIKO BINADAMU WOTE ?

:JE WAJUA ULIMWENGU MZIMA MMILIKI NA MRITHI NI MTU MWEUSI PEKEE...
(Kwa huruma ya MUUMBA hata rangi zingine wapendao ukweli na haki watapewa urithi pia)

:NA JE WAJUA BARA LA AFRIKA NI KUBWA KULIKO MABARA YOTE DUNIAN?
(wanaficha ukwel kwa kusema ni la tatu  ili kutuminya kifikra na nguvu ila haiwezekani)

:HATA SHETANI ANALIJUA VIZURI HILI..
NDIO MAANA WAZUNGU WANATAKA KUIKIMBIA DUNIA KWA KUTAFUTA SAYARI ZINGINE KUKWEPA HUKUMU LAKINI HAITOWEZEKANA ...
NA WALA HAWAWEZ TOKA NJE YA DUNIA HII ZILE SAYANSI ZA KWENDA NJE YA DUNIA,KATIKA MWEZI NI UONGO MTUPU...

:zaburi 116:11
>mimi nalisema kwa haraka yangu wanadamu wote ni waongo..
[Imasema wanadamu wote ni waongo na si watu kwa maana watu ni weusi pekee]

:yeremia 17:5 amelaaniwa mtu amtegemeaye mwanadamu..
[Yaani mtu mweusi atalaaniwa akimtegemea mzungu/mnefili na rangi zingine]

:MWALIMU PEKEE NYAKATI HIZI
NI ZOULOULA 100

:MUUMBAJI WA VYOTE ANAZIDI KUJITUKUZA...

No comments:

Post a Comment

Pages